»

Sep 22, 2009

IFURA SENDOFF PARTY

Venue ;Corridor springs, Arusha
Color : Red &Silver


mambo ya rasta.....


tindo kwa ukaribu


kwa nyumamatron katulia haswaa


dogo alikwepo piamambo ya vimiminikamatron hakuwa nyuma

wazaa chema


ubunifu unaendelea,bi harusi alitoka high table,bwana harusi alipotakiwa kumchukua alikuta wadogoalimpata kwenye kona ya ukumbi,,,kweli shughuli


familia kwa pamojakamati nzima

2 comments:

Anonymous said...

Hi Ifura,
Umependeza sana sana!!!!!!!!
Nimependa nguo yako naomba uniambie umeshonea wapi au namba za simu pls asante.

Anonymous said...

Mungu akutangulie katika safari yako mpenzi wangu!! hongera sana!! na umependeza sana!! vicky naona na ya kwake karibia..amependeza na yeye pia yuko wapi siku hizi?