Venue; Makete hall
color : Silver & Pink
Mc : Mwakajumba
tindo kwa karibu
mambo ya tamaduni zetu
swali kwako:sanduku lako liliwekwa nini ndani???
heshima huanzia ukumbini
mambo ya kumtafuta mwenza
ubunifu:alipopatikana bidada alikuwa na tie akamvisha,angalizo ujifunze kufunga tie sio kuleta aibu ukumbini hahaaaaaaa
familia kwa jumla
1 comments:
Jamani, nice color choice, color ilikuwa nzuri saaaaaaaaana... Tulipendeza saaaaaaana...
Post a Comment