»

Oct 26, 2009

MISHONO

tutakuwa na post za mishono mbali mbali,sio unaenda kwa fundi huna hata idea akishona anavyojua,unalalamika kaharibu sasa ulijua alitaka kukushonea nini mpaka ulalamike?yawezekana hivyo ndivyo mshono ulivyo......jaribu kuwa na idea ya nguo unayotaka siku ya shughuli yako ndio mnashauriana na fundi.....suala la size ,angalia older post kwa maelekezo ya shapes :angalia mshono unaoendana na umbo lako
6 comments:

Anonymous said...

mishono ipo bomba,,kazi kwetuuuuuu

Anonymous said...

umeongea la maana sana,,,hivi inakuwaje fundi akuchagulie kila kitu,then uende ukamlaumu kakushone nguo mbaya?mie hata sielewi,,sasa ulitegemea nini?na kama kuna kitu ulitegemea why didnt u tell her ua ideas?

Anonymous said...

hilo gauni la gold tamuuuuu

Anonymous said...

mimi nadhani tunakosea,,kuna mafundi na madesigner,hawa watu ni tofauti

Anonymous said...

mie nadhani tunakosea sehemu...kuna tofauti kubwa sna kati ya fundi wa kushona na designer,,sasa hao tunaowapelekea ni nani?ukijua hili tegemea chochote toka kwake kutokana na tofauti hiyo

Anonymous said...

mi nimeupenda wa huo wa kwanza..nice..thanks joan..nimepata an idea..