»

Aug 31, 2009

FLOWER POWER

sio lazima tiara ama pin

Aug 30, 2009

THE PRETTIEST COLORFUL WEDDING SHOES

kazi kwenu

Aug 29, 2009

HOT PINK INSPIRATION BOARD

Brides to be mpo?//

MARY SEND OFF PARTY

Venue : Princess Hall
Color: Pink

pozi juu ya pozi
kwa nyuma
ni furaha tuh
alimsaka wa ubani wake akampata
makaka walikwepo
marafiki
haha ukiona kreti na hayo maua unajua tunatokea mkoa gani!!!

Aug 28, 2009

RED & YELLOW INSPIRATION BOARD

"Thubutu kukutwa"


What is fantastic about this creation is that it looks very modern, while maintaining its roots...if you did choose this combination as your event color ,email me your photos ....enjoy.

STYLES OF WEDDING VEILS



Shoulder Length
Also known as “Blusher” veils because they are commonly worn with a piece called a blusher that covers the brides face.


Elbow Length
– This type of wedding veil flows to the brides elbows and can have multiple layers. Usually the layers are the same length, but may be cut shorter by a couple of inches, this are the most commonly worn veil here


Fingertip Length
Wedding veils of this length can be worn with virtually any style gown (the exception being gowns rise above the ankles) .


Cathedral Length
– Usually worn with more formal gowns with cathedral trains. The wedding veil will extend about six inches past the end of the train.



Birdcage Veil
– Extends to just past the chin and is recommended for wearing with short dresses or dinner suits.




Mantilla Veil

hope its easy now for you to find the ONE that will make your special day magical! enjoy

Aug 27, 2009

HAIRSTYLE OF THE DAY

FATUMA KPARTY

Venue : Jasmeena Hall
Mc : Maselina
Color : Black & White
   


Mwahhhh!!!!
kwa raha zao
cheerssss!
mama mzaa chema na mama mlezi
bibi lao
waliwakilisha
mwenyekiti wa kamati,vijana tunaweza!!!!!!!
mduariko wa kitambaa cheupe kama kawaaaa!

CREATIVE CENTREPIECES

Kazi Kweli Kweli inahitajika,napata picha wageni waalikwa sijui wataachia matunda haya?

hizi ni chocolate kama centrepiece usalama upo kweli
wanaoenda na watoto kwenye sherehe,sijui itakuwaje hapo
ni ubunifu 2
 centrepiece sio lazima za maua peke yake,,ubunifu unahitajika pia

Aug 26, 2009

WEDDING HAIRSTYLE OF THE DAY

kwa mbele
                                                  kwa nyuma,kazi kwenu maharusi

HERIETH SEND OFF

Venue: lamada
Mc :Makene
Color : Gold

aliingia ukumbini akisindikizwa na kaka na dada twins,ni ubunifu 2
style za siku hizi zinabadilika tuh,,alianza kwakusalimia wazazi pande zote sio mpk utambulisho upite
mambo ya garden cakes
furaha ya mama mzazi mmeiona?
saa ya kumsaka mwenzi ilifika
itakuwaje pale mnapomsaka humuoni ila yeye alimpata
bi harusi akipata picha na friends

Aug 25, 2009

MAMBO YA PURPLE INSPIRATION BOARD

Nani alisema pupple ni rangi ya msiba wadau?ninaomba comments kujua hii kitu ilianza wapi...
purple ni rangi ya maana sana kwenye shughuli mbali mbali .kuna dark pupple na light pupple ina tegemea unataka rangi ipi.
wengine huwa wanachanganya rangi zote mbili kama wedding color ila wengine wana chagua moja kati ya hizo
Na purple ni kama rangi nyingine unaweza changanya na rangi nyingine bado ikatoka bomba sana,,,hizi rangi nitakuwa naziita thubutu kukutwa nikimaananisha bi harusi kachagua rangi ambazo watu haswa hapa kwetu hatujazowea kuona ,tunashukuru kwamba siku hizi watu tumeanza kujua kumbe kuna rangi zingine za kuchanganyia zaidi ya gold na white,,hizi rangi ni kama purple na orange,pupple na pink,purple na green,purple na turqoise

leo tutaanza pupple,pink and white inspiration board


umeona hiyo nguo mchanganyiko wake ,na jinsi mapambo yanavyotulia,kweli purple ni tamu..
kwa yeyote aliyefanya shughuli yake akachagua purple nitumie picture tuanze kutengeneza inspiration boards zetu
Jumapili tutakuwa Heleinic hall Kwenye kparty ya Pendo Sanga Kachagua Purple & white kama theme color,Stay tuned for more pics!

WEDDING DAY CHECKLIST

Ni muhimu kwa brides to be kuwa na hii list kabla ya shughuli kuanza siku ya tukio


-small sewing kit - mambo ya nguo kuachia zipu ni kawaida kutokea
-safety pins
-stick of gum or roll of breath mints or Tic Tacs (BIG G)
-deodorant
-aspirin
-snack food -sio toka umetoka home kwenda salon ndio mpaka ukumbini hujala,unaweza dondoka
- Dental Floss/Toothpicks-- mambo ya smile tusije ona kisamvu
- Pressed powder to prevent shine- shear illusion,mary rose,s. h. amon etc zipo hizi
- Lipstick since everyone wants a kiss from the bride touch ups will be necessary
- Oil-Absorbing sheets (for quick fix of shiny noses)
- Extra Earring Backs -mambo ya heleni kudondoka hayatakiwi
- Nail Glue- ushawahi kukuta bi harusi na kucha size mbalimbali hata kuwave anaogopa
- Baby powder (to prevent rings on dress and good for perspiration)
- White chalk (to cover any spots that might show on your dress at the last minute)
- Extra pair of flat shoes (slippers, ballet shoes or flip-flops)
- Perfume
- Tissues
- Anti-diarrhea medication--- ha haaa  hapa ndio patamu,just imagine......
- Cold Remedy -- muhimu maana kuna perfume za kila aina huwa zinakuja ukumbini
- Cough Drops or Hard Candy (better than medicinal scent of cough-drops)
- Lotion
- Tooth Brush - nina sisitiza mambo ya kisamvu kwenye meno hayatakiwi
- Tooth Paste
- Tampons or Pads-- muhimu sana,u never know
- Hand Towel
- Handkerchief
- Super Glue (for nail fixes, shoe heels, decorations, even jewels)- haswaaa maana viatu vyetu vinaeleweka
- Clock or Watch
- Scissors
- Emergency Buttons
- Cash (because you never know)- tehe teheee unaweza kuta salon kuna deni

  •   ongezea kitu kwenye list yetu kwa email yangu

Aug 24, 2009

VIOLETH KPARTY

Venue : Istana
Color : Black & White
Mc: Luciana

 cute smile!


aminia madada
                                          wadogo pia walikwepo

mama Sumaye pamoja na mzaa chema mama doriye
mama akimwaga nasaha
kweli walipendeza!