Aug 23, 2009
KARIBUNI WADAU
hello everybody
karibuni sana kwa blog hii itakayo kuwa inahusu mambo ya sherehe,kuanzia maandalizi ya harusi mpaka mwisho wa shughuli..nia hasa ya blog hii ni kusaidiana katika kufanikisha once in a life time events e.g weddings.send off etc...nakaribisha comments za aina mbali mbali ila sio za matusi na kashfa
Mtu yeyote mwenye maoni,picha za shughuli yeyote usisite kunitumia kwa email yangu rjoan2001@yahoo.com
Ukiona picha yako nimeitumia na hujapenda itumike nijulishe
Kuhusu lugha kuwa huru kutumia lugha yeyote kati ya kiswahili na kingreza,zingine kidogo mkalimani sina..ha haa.
Hopefull this blog will help everybody in planning their events stress free!
ENJOY
Posted by joan at 9:42 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
8 comments:
poa bidada, wanawaka na maendeleo. Wonderful Blog, just upload more pictures!!!
nshakusoma bishost but more pics to mek it colourful
ey sijui nimeshindwa kwenda inside au ni front page tu if its that then we stil av sam work to do we nid to go in and see more colours lol
Well done, we need more blogs like this - can't wait to see more :-)
Good stuff Joan, keep it up!
Tunahitaji haya mambo tehe tehe ila kwakuwa wewe jirani yangu najua utanisave ikifikia hii siku.
Asante sana, This is an amazing progress in blogging and Tanzanian prosperity. Mwanzo mwema na endelea kutupatia mambo.Hongera Mpendwa.
mi naomba uweke picha zako za harusi japo chache ulipendeza hongera kwa maendeleo.
nimeona bi dada kip it up sharing,exchanging ideas n'experience from others its very very important n' ull get more things concerning ur work by the way well done.dogo hapa mary manzawa
Post a Comment