Nani alisema pupple ni rangi ya msiba wadau?ninaomba comments kujua hii kitu ilianza wapi...
purple ni rangi ya maana sana kwenye shughuli mbali mbali .kuna dark pupple na light pupple ina tegemea unataka rangi ipi.
wengine huwa wanachanganya rangi zote mbili kama wedding color ila wengine wana chagua moja kati ya hizo
Na purple ni kama rangi nyingine unaweza changanya na rangi nyingine bado ikatoka bomba sana,,,hizi rangi nitakuwa naziita thubutu kukutwa nikimaananisha bi harusi kachagua rangi ambazo watu haswa hapa kwetu hatujazowea kuona ,tunashukuru kwamba siku hizi watu tumeanza kujua kumbe kuna rangi zingine za kuchanganyia zaidi ya gold na white,,hizi rangi ni kama purple na orange,pupple na pink,purple na green,purple na turqoise
leo tutaanza pupple,pink and white inspiration board
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH2UWjrhhDowp4Qex1qKtXSyU1DjRhejhmHDO-59sRK_ePZZjeozYOicXV29094xv-zEyrwvxsYHPv7WzbAagkIxHYi0uCBJ9NfUe2o9NtCewmrgeHMUQKUMNhP2bBoEQkp-8sTVPvnLc/s400/For+blog.jpg)
2 comments:
mmm twasubiri hizo pics kwahamu
Can't wait to see the pics
Post a Comment