»

Oct 7, 2009

BLUE AND BROWN WEDDING






katika pitapita yangu nimekutana na harusi hii,wewe waonaje mchanganyiko huu




tindo la nywele




kwa nyuma



huyo dogo mie kanimaliza huko kichwani


matron kuvaa white inaruhusiwa,maids kitambaa kimoja mishono tofauti!!!!!!


rangi ni brown,suti ni brown,,,,,imeeleweka!!!!


nadhani tumeelewana!!

2 comments:

Anonymous said...

kuvaa suti rangi ya harusi sawa,,ila napata mawazo sana pale inapokuwa rangi kali,,eg pink,blue,greenetc ,sipati picha

Anonymous said...

nimeangalia picha nyingi humu ni nzuri sana ila ushauri wa bure tuu, ni muhimu sana rangi nguo ichaguliwe kwa makini... lazima kuangalia vitu kama... rangi ya wahusika.. it they are too dark basi wachague light colours na kama ni a bit light (meaning wamejaliwa weupe kiasi) walao dark colour hazitakuwa mbaya. Otheriwise you can just see for yourself the picture above hawaonekani vizuri ni kwa kuwa everything is just too dark!