»

Oct 5, 2009

NAMAN & ELIZABERTH WEDDING

venue  :Landmark hotel
Color : Gold,orange & Brown


pete inang'aaaaaaaa


mambo ya mapozi



asante matron


hii sasa ndio imetulia,,unakuwa na rangi nyingi ila sio lazima kila mtu achanganye rangi zote.safi sana kwa kuonesha mfano!!!!!!!!


mambo ya mipasuo


mijiunga ya ngano hiyo



familia kwa pamoja


mambo ya zawadiiiiii


kamati ya maandalizi


1 comments:

Anonymous said...

dear naomba uzungumzie maua ya ma biharusi mie nimechoshwa na yakibongo sidhani kama ni fresh na kama fresh wanaweka ribon sanaa mie nnaona wapumzishe somehow style zao za ribon