harusi imependeza, ukimwangalia flower girl kabeba kikapu hata hakijafunikwa na kitambaa chochote,,,inakuwa hainogi kihivyoooooo...haya mifano ndio hiyo
Oct 16, 2009
FLOWER GIRL BASKETS
harusi imependeza, ukimwangalia flower girl kabeba kikapu hata hakijafunikwa na kitambaa chochote,,,inakuwa hainogi kihivyoooooo...haya mifano ndio hiyo
Posted by joan at 10:40 AM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
mie vile vikapu huwa sivipendi kabisa,,harafu unajukatuta kimewekewa maua ya wachina,very disgusting
Post a Comment