»

Oct 13, 2009

SWALI KWAKO

hivi  ulisali wakati ukiwa salon kabla ya kwenda kanisani ama ndio ulisibiria padri akusalieeee???


6 comments:

Anonymous said...

haha haha,,,,,kweli huwa hatusaliiiiiii

Anonymous said...

Darling huwezi amini nashukuru mungu nimetoka kwenye familia ya kikristo safi, mimi asubuhi nilisali sana kabla sijashusha miguu chini ya kitanda asije badilisha mawazo na pia familia yangu ilifunga kwa siku 3 maana baba na mama hawapo pamoja yaani wametangana so ikawalazimu wafunge ili isije tokea migomo au migongano baina ya ndugu wa upande wa baba na mama.

Anonymous said...

weweeeeee hapo umetukuna wengi shost hapo nilikuwa na kitete cha kuvishwa pete mchezo nini.dogo mary hapa

Anonymous said...

ni kweli wengi ukishakuwa saloon mwazo ni kwenda kuvushwa pete tuuuuu

Anonymous said...

toka nianze kazi ya salon sijawahi kumwona bi harusi kamshika hata matron peke yake kusali,,sijui huwa ndio kupanic

Anonymous said...

i like the idea