Venue : Carnival hall
Color : Hot pink & Black
Mc : Mary Chombeza
safiiii
kwa mbele
tindo kwa nyuma
taratibuuuuu
familia kwa pamoja
madada
dadaz group na dressing table
bibi na sanduku
mama mdogo na sanduku
shangazi wakubwa na dhahabu
najua mate yamekutokaaaaaaa
4 comments:
NICE COLOURS,,NAMUONA TALHA,,UPO WAPI SIKU HIZI,,TOKA KISUTU SIJAKUTIA MACHONI
MAMA J
rangi nzuri ila naona nyeusi imezidi wka wengine hainogi biharusi safiiii
Jamani watu wote mmependeza mweh!! inaelekea maandalizi ilikuwa baab kubwa.
Rangi imewatoa bi harusi wetu. Hongera, tunakutakia maisha bora, wewe pamoja na mpambe wako aliyejitoa kukupa kampani mpaka siku ya mwisho mana baadhi huwaangusha maharusi dakika za mwisho. Kweli nyie ni ma-beste.
Post a Comment