Venue; Karimjee grounds
Color : Orange &yellow "thubutu kukutwa"
Mc:Njelekela
habari ndio hiyooooo!
mambo mswanooooooo!!!!!!
plus size mpooooo?????
kwa nyuma
mambo ya kukutana salon
asante kwa kuonyesha kwamba kila rangi inawezekana
karibu ukumbini,,,,zingatia tingo la matron kwa nyuma
ni raha 22222222!
11 comments:
My friends told me the colour was SEXY..
Joan, you are the best.. U did a great job... Hongera saaana
Plus size ladies shouldn't be worried, Joan has a perfect dresses for you. Contact her.
A perfect color setting. The bride and groom look perfect too. Congrats. Imependeza sana.
kwa kweli mamaaa mi sina cha kusema ila tu umependeza sana. funiko. wish u all the best in lyf. may u be blessed with all the good n positive things in lyf.
kwa kweli rangi hii kwa akili yangu ya kawaida nisingeweza kuifikiria kama inaweza tumuika,,ila hapa ndio nimepata picha,,kweli joan umesaidia kutufungua macho,,kila ninachokiona humu natamani kitokee kwangu...maharusi wamependeza sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Jamani, matron na mtandio wake, kwa kweli amefunika...
hiyo staili inaitwa mgongo mgongo...
Maids... U r were perfect.. U guys, maharusi ni vijana na mmependeza saaaaaaaaana,hongereni..
biharusi umependeza sana,,nice color choice
Thanks u guys for the best decision
Mimi nimempenda bi harusi anafuraha sana sio wwengine utafikiri wanalazimishwa kwenda kuolewa.Zawadi funika bovu sina cha kusema.Nakutakia maisha mema wifi
Post a Comment