»

Sep 28, 2009

TUNABORESHA BLOG !

Poleni ndugu wadau kwa kutokupata majambozi kwa siku chache , tunaandaa Mambo matamu zaidi kwa kuboresha ili mpate mambo ya kisasa zaidi ,simnajua tena mambo ya technolojia , Msiache Kutembelea wiki ijayo kwa Mambo mazuri , ASANTENI

Sep 23, 2009

ORANGE & HOT PINK WEDDING COLOR


angalia jinsi bwana harusi na wapambe alivyotofautisha rangi


jamani huyo sijui padri????wapiga picha mpooo


napata hofu sana na hizo favor box kweli kila mtu atakuta yake ama aliyewahi atabeba zote za meza nzima?????


headtable


ua la biharusi safi sanaaa


hakuna keki ya mjomba wala shangazi hapo

Sep 22, 2009

PLUS SIZE BRIDES

wadau wamenilalamikia naweka  picha za watu wembamba,haya wale wenye miili ye2 mpoooo?


mambo ya kujiamini



ukitaka kufunika mikono sawaaaa






















hata ukiwa mnene vipi lazima ujiamini

IFURA SENDOFF PARTY

Venue ;Corridor springs, Arusha
Color : Red &Silver


mambo ya rasta.....


tindo kwa ukaribu


kwa nyuma



matron katulia haswaa


dogo alikwepo pia



mambo ya vimiminika



matron hakuwa nyuma





wazaa chema


ubunifu unaendelea,bi harusi alitoka high table,bwana harusi alipotakiwa kumchukua alikuta wadogo



alimpata kwenye kona ya ukumbi,,,kweli shughuli














familia kwa pamoja



kamati nzima

Sep 17, 2009

ELIZABETH SEND OFF

Venue: Vatican hall
Color : pink rose & silver


lzm uwe mpole
tindo la matron limetulia
mambo ya mishono
jamani mambo ya kumtafuta mkaka yanabadilika kila siku,hilo ua lilibeba apple
Mambo hadharani

Sep 16, 2009

ISAAC & JOYCE WEDDING

Venue : Msimbazi Centre 'Holland Hall'
Mc : Henjewele
Color : Orange & Black

furaha lazima!!
kuteta inaruhusiwa siku hiyo
maids
vimiminika muhimu
familia kwa ujumla waooo!
ukishaona kuna nafasi katikati kwa best man na matron ujue kila mtu katokea kwenye mji wake,ha haaaaa!
kamati ya maandalizi

Sep 15, 2009

HOW TO CHOOSE YOUR WEDDING GLOVES


Step1

Look for gloves that complement your dress.

Step2

Match the color of your gloves to your wedding dress.

Step3

Choose the glove length, determined by the number of buttons, based on the type of dress worn.

Step4

Slit the seam of a long glove at the underside of the ring finger to be able to slip your finger out during the ceremonial ring exchange - resew the seam after the wedding. If you opt for shorter wrist-length gloves, you can simply shift the glove and hand it to a bridal attendant.

Step5

Slip your now beautifully adorned finger carefully back in your glove, or if you took off the glove completely, leave it off for the remainder of the ceremony.

Step6

Put your gloves back on if you have taken them off for any reason, and wear them for your formal photographs.

Step7

Keep your gloves off while you're eating and drinking.



There are several types of wedding gloves. They are:



Fingerless -- Either long or short, fingerless gloves offer added convenience during the ring exchange, as your ring finger is already exposed..



Elbow -- ends just above the elbow





Wrist -- 'ordinary' gloves, covering the hand only





Gauntlet -- this long glove goes right down to the wrist, but doesn't cover the hand.

ROSE SEND OFF

Venue :Msasani makuti hall
Mc ; Frank kavemba
Color ; Gold

pozi kwa ukaribu zaidi
gold ilikolea haswaaa
matron ametulia
muda wa kumsaka mwenzi umewadia,ubunifu ilikwepo.palikuwa na ua pamoja na wine
mambo ya moshi
alipopatikana ,wine alinyweshwa
 
nasaha za wazazi
mambo ya ngoma za kikabila
kamati ya maandalizi