»

Sep 10, 2009

WEDDING GOWNS STYLES & SHAPE

Mermaid


Hapa ndio patamu,,hii style lazima ujitambue figure yako ni ipi maana hii style ni ya kuonesha figure,,sasa usilazimishe mambo ukaishia kuonekana kituko mbele..This style is not recommended for women who are petite, thick or short waisted, or have an inverted pear shaped body type.
 
 



2 comments:

Anonymous said...

hii style ninaipenda sana mungu kanijalia tatizo nina kitambi,kweli sifai kuvaa hii style?

Anonymous said...

kitambi tafuta la kubana tumbo hauna usijitie aibu ukwia na kitambi hautapendeza don't force au go on diet dada !