»

Sep 1, 2009

UPENDO KPARTY

Venue : Helleinic Hall
Mc : Luciana
Color :Purple

umeona yeboyebo hizo,zimetulia haswaaaaaa 
mambo ya kujiamini bidada hakuwa na matron
tindo kwa nyuma
maneno sina kabsaaaaaaaa
zawadi zetu
maelekezo ya mbuzi ,,upooo?
madada hao
white na purple zilitawala
topic ya uvumilivu ilirushwa na mama y2
mashostino
wifi hakuwa nyuma
burudani kama kawa....

3 comments:

Anonymous said...

Hongera mdada ulipendeza sana na karibu kwenye chama.
Mizawadi ya nguvu mdogo wangu ushindwe mwenyewe.

Anonymous said...

kweli purple inapendeza sana,,fagilia bi harusi umependeza sana

Anonymous said...

hiyo keki imeniacha hoiii,,kweli ni ubunifu