Venue ;Corridor springs, Arusha
Color : Red &Silver
mambo ya rasta.....
tindo kwa ukaribu
kwa nyuma
matron katulia haswaa
dogo alikwepo pia
mambo ya vimiminika
matron hakuwa nyuma
wazaa chema
ubunifu unaendelea,bi harusi alitoka high table,bwana harusi alipotakiwa kumchukua alikuta wadogo
alimpata kwenye kona ya ukumbi,,,kweli shughuli
familia kwa pamoja
kamati nzima
2 comments:
Hi Ifura,
Umependeza sana sana!!!!!!!!
Nimependa nguo yako naomba uniambie umeshonea wapi au namba za simu pls asante.
Mungu akutangulie katika safari yako mpenzi wangu!! hongera sana!! na umependeza sana!! vicky naona na ya kwake karibia..amependeza na yeye pia yuko wapi siku hizi?
Post a Comment