karibu tena
kuanzia leo nitaanza kuchambua rangi moja moja za sherehe na kuonesha namna gani unaweza kuchanganya na rangi zingine na kitu kikatoka bomba,,umefika muda rangi nyeupe ipumzishwe maana ishapitwa na wakati kwenye kuchangaya tumuachie bi harusi na nguo yake,kwa ufupi say noooo to white
Niweke wazi picha zinazoambatana na ushauri ndani ya hii blog zitakuwa za nchi mbali mbali ili kuweza kupata kujua nini kinaendelea duniani na picha za hapa pia zitakwepo kwa sanaaaaa
blue & green
champagne & blue
Blue & Purple
blue & blue
blue& hot pink
blue & brown
blue & blue
blue &champagne
blue & silver
blue & black
yeyote aliyekwisha fanya shughuli ya rangi yeyote hapo juu ama anatarajia kufanya atume picha zake kwenye email yangu
2 comments:
ama kweli umenitoa ushamba na hizo pia ni blue,mh blue na purple kweli mabadiliko
leta mambo shosti
Post a Comment