»

Sep 15, 2009

ROSE SEND OFF

Venue :Msasani makuti hall
Mc ; Frank kavemba
Color ; Gold

pozi kwa ukaribu zaidi
gold ilikolea haswaaa
matron ametulia
muda wa kumsaka mwenzi umewadia,ubunifu ilikwepo.palikuwa na ua pamoja na wine
mambo ya moshi
alipopatikana ,wine alinyweshwa
 
nasaha za wazazi
mambo ya ngoma za kikabila
kamati ya maandalizi

2 comments:

Anonymous said...

mimi nafikiri kitchen part ilikua nzuri kuliko send off.kpart alipendeza sana na matron wake.send off angechanganya rangi cold na brown au mana ata matron amemwangusha kwa kweli.kila la kheri

Anonymous said...

tuwekee basi za kicheni party pia tuone wanavaaje mie nilipenda hii gold ila msimamizi naye alikuwa too gold kivyake anyway was cutee