»

Sep 23, 2009

ORANGE & HOT PINK WEDDING COLOR


angalia jinsi bwana harusi na wapambe alivyotofautisha rangi


jamani huyo sijui padri????wapiga picha mpooo


napata hofu sana na hizo favor box kweli kila mtu atakuta yake ama aliyewahi atabeba zote za meza nzima?????


headtable


ua la biharusi safi sanaaa


hakuna keki ya mjomba wala shangazi hapo

0 comments: