Venue:Karimjee
Mc : Makassy Jr
Color : Black & White
mambo taratibuuuuuu...
kwa raha zake
tindo kwa mbele
kwa nyuma
mshumaa wa upendo uliwashwa
ni furaha 2
mambo yalikuwa tofauti,bwanaharusi ndiye aliyeenda kumsabahi kabla ya chakula
rangi ye2 ilitawala
burudani kwa sanaaaa
4 comments:
pendo umependeza dada mshono umetulia simple but nice
bongo mambo mswano,,naona watu wamependeza,,hii rangi ni nzuri sana na hapa imetoka bomba,,hongera mdada
nimependa hair style yake,,kweli simple but nice
shughuli ilikuwa bomba
Post a Comment