»

Sep 7, 2009

WEDDING GOWNS STYLES & SHAPES # 1

Looking for that perfect wedding gown for the big day? Let me help you by explaining the basic styles and shapes you can expect to find:

Ball Gown / Full Skirt:

hizi ball gowns zinapendeza watu wenye figure zote haswa wanene ,kama unavyo kwenye picture
juu inashika ikifika kiunoni inajimwaga,,wembamba wanaweza kuvaa ila sio wembamba sana maana inakuwa kama umechomekwa


 

2 comments:

Anonymous said...

safi sana joan,maana hata hilo jina la style hii ndio nimeipata hapa,,kweli utatusaidia kujua vitu vingi

Anonymous said...

hiyo style ya mwisho,nimeipenda ila napenda iwe na hiyo povu ila iende na mwili maana mie nyama sina